Mahabusu wanaotuhumiwa na ugaidi jijini Arusha jana baadhi yao wamegomea kushuka katika
gari la
magereza kwa madai kuwa hawatendewi haki kwa kesi zao kutosikilizwa hali
inayowalazimu kukaa mahabusu kwa muda mrefu bila kujua hatima yao
Watuhumiwa wa ugaidi baadhi yao wakiingia katika gari la magereza baada ya 32 kutii amri ya mahakama
Watuhumiwa wa ugaidi wakiwa katika viwanja vya mahakama jana jijini Arusha
SHARE
No comments:
Post a Comment