MADAKTARI wa Mercy hospital WAMESEMA WATOTO wote watatu Wilson, Doreen,
na Sadia wameendelea VEMA, na maandalizi ya awali yameanza ya kuandaa
kuwapeleka "Special Rehab", au Makazi Maalum ya kuendeleza uangaliza wa
KARIBU wa AFYA zao, na kufanyiwa MAZOEZI, ingawa wataendelea KUWA WODI
ya WATOTO Mercy Hospital kwa SASA hadi MADAKTARI bingwa
WATAKAPOJIRIDHISHA na hali yao.
MTOTO Wilson alinukuliwa na VYOMBO vya HABARI
vya America akisema "Thank you". MTOTO Sadia aliseme "Hello TANZANIA".
Sote TUENDELEE kuwaombea. MUNGU mwenyewe AKAWATENDEE mema kwa UTUKUFU
wake.
No comments:
Post a Comment