Baadhi ya wabunge wakiwa na Baadhi ya wachezaji wa
Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba wakiwa na Kombe la Ubingwa la
Shirikisho(FA CUP) waliloshinda baada ya kuwafunga Mbao Fc kwa jumla ya goli 2
-1 katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo Mei 29, 2017.
Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba
Kutoka Jijini Dar es Salaam wakiwa Bungeni Mjini Dodoma leo Mei 29, 2017.
Spika wa Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha 36 cha
Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt
Harrison Mwakyembe akijibu maswali mbalimbali kwa niaba ya Waziri wa Katiba na
Sheria katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe.
Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera
Bunge Kazi Ajira Vijana na watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama katika kikao
cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29,2017
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhe. Mhandisi
Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha
Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
Mbunge wa Mtwara Vijijini (CCM) Mhe. Hawa Ghasia
akiuliza swali katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 29, 2017.
Naibu Waziri wa Afya maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee
na Watoto Mhe. Dkt Hamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29,
2017.
Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Charles Tizeba
akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi
Ajira Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama wakijadiliana jambo na
Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema katika kikao cha 36 cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Mbunge wa Kalambo Mhe. Josephat Kandege akiuliza swali
katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29,
2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi
Ajira Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama wakijadiliana jambo na
Mbunge wa Mbuya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi katika kikao cha 36 cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Mhe. Angelina Mabula akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Mhe. Balozi Dkt Agustine Maige akiwasilisha makadirio ya Bajeti ya
Wizara yake kwa mwaka wa 2017/2018 katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Ritha Kabati akiuliza swali
katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
SHARE
No comments:
Post a Comment