Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Wafanyabiashara mbalimbali wa nchini pamoja na Afrika ya Kusini wakati
aliposhiriki pamoja na Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma katika Jukwaa
hilo la Wafanyabiashara jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Afrika Kusini Jacob Zuma akisoma hotuba yake katika Jukwaa hilo la
Wafanyabiashara wa Tanzania na Afrika Kusini lililofanyika jijini Dar es
Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana
jambo na Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma mara baada ya kutoka kwenye
Jukwaa hilo la Wafanyabiashara wa Tanzania na Afrika Kusini
lililofanyika jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya
Wafanyabiashara mbalimbali wa Tanzania na Afrika Kusini waliohudhuria
katika Jukwaa hilo la Wafanyabiashara jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
SHARE
No comments:
Post a Comment