Treni ya Suite
Shiki-shima imeundwa maalum kwa ajili ya kuwapa abiria starehe. Lakini endapo utahitaji kusafiri nayo, basi
itakupasa ulipe gharama ya kati ya dola 2,860 (sh milioni 5.7) na 10,000 (sh
milioni 22.2) ili uweze kuchagua kati ya safari ya siku mbili au nne.
Treni hiyo ya
Shiki-shima, ilifanya safari yake ya kwanza Mei mosi. Ilijengwa kulingana na
mipango na michoro ya Ken Kiyoyuki Okuyama
Mandhari ya treni
hiyo hukuwezesha kutulia huku ukifuhia glasi ya mvinyo
Ina uwezo wa kubeba abiria
34, hivyo ina nafasi ya kutosha abiria kuweza kuona vizuri
Hapa ndipo unapoweza
kulala baada ya safari ndefu
Mipango ya kuitengeneza
treni hiyo, ilitangazwa na kampuni ya East Japan Railway Company mwaka 2014.
Chakula kitakuwa kikiliwa sehemu hii
Kila kitu kitakuwa
sawa na cha hoteli yoyote ya kifahari
Unaweza pia kukaa
karibu na moto
SHARE
No comments:
Post a Comment