Idadi ya watu
waliolazimika kuhama makwao kutokana na mzozo ndani ya Jamhuri ya
Demokrasi ya Congo mwaka uliopita, ilikuwa ni ya juu kuliko idadi ya
watu waliohama makwao nchini Syia na Iraq.
- Waasi wa M23 waingia DRC
- Maafisa wa UN waliotekwa DRC waachiliwa huru
- Mhubiri kutoka DRC apewa hifadhi Afrika Kusini
- Badibanga atangazwa kuwa waziri mkuu DRC
Katibu mkuu wa NRC Jan Egeland aliiambia BBC kuwa ni jambo la kushangaza kuwa sio Syria au Iraq zilizo na wahamiaji wengi.
CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment