Wanasayansi
kutoka Chuo kikuu cha Bristol, waliwachunguza watu wenye virusi
vinavyosababisha UKIMWI wapatao 90,000. Makadirio yao, yanaonesha kuwa mtu
mwenye umri wa miaka 21 aliyeanza matibabu mwaka 2008 au baadaye anaweza kuishi
mpaka kufikia umri wake wa miaka 70.
Zaidi
ya watu milioni 2 wanaishi na Virusi vya UKIMWI Ulaya na Amerika Kaskazini. Kwa
upande wa Takwimu za ulimwengu, watu walioathirika na virusi hivyo ni milioni
36 wengi wao wakiwa barani Afrika.
BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment