Kampuni ya Ndege Nchini (ATCL) hivi karibuni imeongeza safari zake
kati ya Dar es Salaam na Dodoma kutoka mbili hadi tatu kwa wiki.
Pichani, abiria wakielekea kupanda ndege ya Bombandier Q 400 ya Kampuni
hiyo kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Juni 7, 2017. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
SHARE








No comments:
Post a Comment