Matajiri wa jiji la
Manchester klabu ya Man City huenda wakamgeukia beki wa Juventus Dani
Alves kumsajili katika mkakati kuimarisha safu yao ya ulinzi.
Dani Alves katikati akiwa na Pep Guardiola kulia baada ya kusajiliwa na Barcelona mwaka 2008
Kumekuwa na tetesi timu hiyo inamtaka beki wa kulia wa Tottenham, Kyle Walker lakini Habari za uhakika zinasema Pep Guardiola anataka kumsajili kitasa wa kibrazil aliyewahi kufanya ane kazi akiwa na Barcelona.
Guardiola ndie aliyemsajili Alves mwaka 2008 kwa dau la pauni milioni 23 kutoka Sevila kwenda Barcelona
SHARE









No comments:
Post a Comment