TRA

TRA

Tuesday, June 20, 2017

HAKI ELIMU YAZINDUA KAMPENI YA KUMWEZESHA MTOTO WA KIKE KUPATA ELIMU

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !



Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Haki Elimu Nchini , John Kalaghe akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuondoa Vikwazo kwa Mtoto wa Kike katika hafla iliyofanyika katika ofsi za Tasisi hiyo Upanga jijini Dar es Salaam,Kampeni hiyo itasaidia kuongeza uelewa kwa jamii kumpa fursa msichana hili aweze kupata mafanikio na kufikia maelengo yake
Msemaji kutoka TGNP, Grace Kisetu akichangia jambo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ondoa Vikwazo asome iliyofnyika katika ukumbi wa Haki Elimu Upanga Jijini Dar es Salaam.

Sehemu ya Waandishi waliohudhuria kampeni ya ondoa Vikwazo asome iliyozinduliwa na Tasisi ya Haki Elimu kwa kushilikiakana na mashirika mbalimbali ya za kijamii
Sehemu ya Waandishi waliohudhuria kampeni ya ondoa Vikwazo asome iliyozinduliwa na Tasisi ya Haki elmu kwa kushilikiakana na mashirika mbalimbali ya za kijamii
Sehemu ya Waandishi waliohudhuria kampeni ya ondoa Vikwazo asome iliyozinduliwa na Tasisi ya Haki Elimu kwa kushilikiakana na mashirika mbalimbali ya za kijamii

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger