TRA

TRA

Tuesday, June 20, 2017

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA CHAMA CHA ASKARI WASTAAFU WA VITA KUU YA PILI YA DUNIA JANA OFISINI KWAKE MJINI DODOMA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akipokea Barua ya kujitambulisha na kuomba msaada wa mchango kwa ajili ya kufanya Mkutano Mkuu wa Chama cha Askari wastaafu kwa Vita kuu ya pili ya dunia waliopigana Mwaka 1939 – 1945 kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama hicho ambae ni Ndg. Bakari Ngonja, katika kikao kilichofanyika jana  Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akutana na kufanya mazungumzo na Chama cha Askari wastaafu wa Vita kuu ya pili ya dunia waliopigana Mwaka 1939 -1945 katika kikao kilichofanyika jana Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akisisitiza jambo pale alipokutana na kufanya mazungumzo na Chama cha Askari wastaafu wa Vita kuu ya pili ya dunia waliopigana Mwaka 1939 -1945 katika kikao kilichofanyika jana  Ofisini kwake Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger