TRA

TRA

Sunday, June 11, 2017

Maandamano makubwa ya kupinga ufisadi yatarajiwa Moscow

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !



Watu wengi wanadhani kwamba ufisadi upo tu barani Afrika, lakini ukweli ni kuwa hilo ni tatizo la dunia. Fuatilia kinachotokea nchini Urusi kwa Rais Vladmir Putin.

Wafuasi wa kiongozi wa upinzani nchini Urusi Alexei Navalny wanatarajiwa kumiminika mjini Moscow kwa maandamano yasiyoruhusiwa kupinga ufisadi.

Bwana Navalny alipata kibali cha kufanya mkutano sememu nyingine lakini akasema kuwa ameuhamisha mkutano huo baada ya mamlaka kujaribu kuwahangaisha waandamanaji.

 Alexei Navalny amepeleka maandamano hayo mjini Moscow

Ofisi ya mkuu wa mashataka imeinya kuwa polisi watachukua hatua dhidi ya maandamano yasiyoruhusiwa,
Maandamano madogo yanaripotwa katika miji eneo la mashariki mwa Urusi.

Wimbi la mwisho la maandamano yaliyoongozwa na Bwana Navalny yalimalizika huku mamia ya watu wakikamatwa.

Maandanoia yalikuwa makubwa zaidi tangu mwaka 2012 na kuwavutia maelfu ya watu wakiwemo vijana wengi, baada ya ripoti iliyochapishwa na Bwana Navalny, ikimshutumu waziri mkuu Dmitry Medvedev kwa kuhuika kwenyr ufisadi. 

CHANZO: BBC

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger