TRA

TRA

Thursday, June 15, 2017

MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAAFISA MIFUGO WA WILAYA NA MIKOA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
 
unnamed
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Grace Matemu ambaye ni Meneja wa tawi la Benki ya NMB la Bunge wakati alipokwenda katika tawi hilomjini Dodoma  kupata huduma za kibenki Juni 15, 2017
1
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akifungua Mkutano wa Maafisa Mifugo wa Mikoa na Wilaya kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Juni 15, 2017.
2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba baada ya kufungua Mkutano wa Maafisa Kilimo wa Wilaya na Mikoa kwenye ukumbi wa Chuo cha mipango  mjini Dodoma Juni 15, 2017. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene na Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Tate Ole- Nasha.
3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi  Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba kitabu  cha “Mwongozi wa kitaifa wa Usimamizi wa Huduma za Mifugo” baada ya kukizindua kwenye Mkutano wa Maafisa Mifugo wa Wilaya na Mikoa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma, Juni15, 2017.(picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
waz6
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akifungua Mkutano wa Maafisa Mifugo wa Mikoa na Wilaya kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Juni 15, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
waz7
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba baada ya kufungua Mkutano wa Maafisa Kilimo wa Wilaya na Mikoa kwenye ukumbi wa Chuo cha mipango  mjini Dodoma Juni 15, 2017. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene na Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Tate Ole- Nasha. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger