Mkurugenzi Mkuu wa
Mamlaka
ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya
Jamii
nchini (SSRA) Bi. Irine Isaka(wapili kushoto), akimuhudumia mwananchi
huyu kulia, eneo la mapokezi aliyefika kwenye ofisi za Mamlaka hiyo
jijini Dar es Salaam leo Juni 19, 2017 ambapo maadhimisho ya wiki ya
utumishi wa umma inayoendelea kote nchini.
Wafanyaakzi wa SSRA (kushoto), wakiwa na
nyuso za bashasha wakati wakihudumia wateja makao makuu ya Mamlaka hiyo
jijini Dar es Salaam Juni 19, 2017 ambapo taifa linaadhimisha siku
wiki ya Utumishi wa umma kote nchini
SHARE
No comments:
Post a Comment