TRA

TRA

Sunday, June 11, 2017

Mkuu wa mashtaka afutwa kwa kukataa kuchukua simu ya Trump

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !



Aliyekuwa Mwendesha Mashtaka wa cheo cha juu mjini New York, amefichua kuwa alifutwa kazi na Rais Donald Trump baada ya kupokea simu kadha zisizokuwa za kawaida kutoka kwa Rais huyo wa Marekani.

Preet Bharara aliambia Shirika la ABC wiki hii kuwa alihisi simu hizo kutoka kwa Rais Trump zilikuwa zimevuka mipaka ya kawaida inayotenganisha ofisi ya rais na uchunguzi huru wa uhalifu.

 Bwan Bharara alisema kuwa alifutwa baada ya kukataa kuchukua simu ya tatu ya Trump.

Bwan Bharara alisema kuwa alifutwa baada ya kukataa kuchukua simu ya tatu ya Trump.

Ikulu ya white House haikujibu mara moja madai hayoiya bwana Bharara.
Bwana Bharara ambaye aliteuliwa na Obama na kuhudumu eneo la Manhattan, alisema ilionekana kuwa Trumo alijaribui kujenga uhusiano fulani baada ya wawili hao kukutana mwaka 2016.
"Rais obama hakunipigia simu hata mara moja katika kipindi cha miaka saba unusu," bwana Bharara alisema.

CHANZO: BBC

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger