Ana Brnabic alichaguliwa na rais mpya, Aleksandar Vucic.

Rais wa Serbia amemteua mwanamke ambaye ni mpenzi wa jinsia moja kuwa waziri mkuu katika jimbo la kihafidhana la Balkan.