TRA

TRA

Friday, June 9, 2017

MSANII IRENE VEDA AULA UBALOZI WA UTALII KUPITIA BODI YA TAIFA YA UTALII TANZANIA (TTB)

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Mkurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Utalii (TTB), Devotha Mdachi (kulia) akimkabidhi mkataba Balozi wa ukarimu ‘Goodwill Ambassador’ wa TTB, Irene Veda mara baada ya kusaini.
Mkurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Utalii (TTB), Devotha Mdachi (kulia) akimwelekeza Balozi wa ukarimu ‘Goodwill Ambassador’ wa TTB, Irene Veda sehemu za kusaini mkataba wake wa miaka miwili.
Balozi wa ukarimu ‘Goodwill Ambassador’ wa TTB, Irene Veda (kushoto) akiendelea kusaini mkataba wake .
Mkurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Utalii (TTB), Devotha Mdachi (kulia) akimalizia kumwelezea Balozi wa ukarimu ‘Goodwill Ambassador’ wa TTB,  Irene Veda sehemu za mwisho za kusaini katika mkataba huo.
Balozi wa ukarimu ‘Goodwill Ambassador’ wa TTB, Irene Veda akimalizia kusaini mkataba wake ili kuanza rasmi kazi za kupeperusha Bendera ya kutangaza utalii nchini Tanzania.
Mkurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Utalii (TTB), Devotha Mdachi (kulia) pamoja na Balozi wa ukarimu ‘Goodwill Ambassador’ wa TTB,  Irene Veda wakionesha mikataba yao baada ya kumaliza kusaini.
 
Kuona kazi ambazo ameanza kuzifanya bofyaInstagram: www.instagram.com/twendetukataliitz

 Twitter: www.twitter.com/TukataliiTz 

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger