Bingwa mtetezi wa
michuano ya tenesi ya Aegon Muingereza Andy Murray, ametupwa nje ya
michuano hiyo na mchezaji namba 90 kwa ubora wa mchezo huo Jordan
Thompson.
Stan Warrinka nae alitupwa nje ya michuano hiyo baada ya kuchapwa na Feliciano Lopez kwa seti mbili alizopoteza kwa 7-6 na 7-5.
Nyota mwingine aliyeondolewa kwenye michuano hiyo ni Milos Raonic aliyefungwa na Thanasi Kokkinakis kwa seti mbili ya 7-6 na 7-6.
SHARE
No comments:
Post a Comment