Mamadou Sakho wa Liverpool alikuwa Tanzania na mkewe Majda na watoto wake Aida na Sienna na kwenda Ngorongoro kutalii, jana Juni 19 tumeona kiungo wa Tottenham Hotspurs raia wa Denmark Chris Eriksen akipost picha akiwa Ngorongoro Crater.
Baada ya Chris Eriksen kuingia Tanzania leo June 20 2017 kiungo mwingine wa Tottenham Hotspurs ya England Victor Wanyama ameingia Tanzania kwa ajili ya mapumziko akiambatana na watu wake wa karibu.
SHARE
No comments:
Post a Comment