UKIFUATILIA kwa umakini matukio mengi yanayotokea nchini kwetu leo hii utajifunza jambo moja muhimu.
Jambo hilo ni baadhi yetu kutopenda kuzingatia sheria katika shughuli zetu mbalimbali hususan ofisi za umma.
Rais John Magufuli
Matokeo yake leo tunaona mambo mengi yamebadilika. Tunaona yanayoendelea sasa ni mambo mageni. Kumbe tatizo kubwa tulijisahau na kutojua kuna kitu kinaitwa sheria.
Sasa uongozi wa sasa chini ya Rais John Magufuli anatukumbusha kuzingatia sheria katika shughuli mbalimbali za utendaji wa kila siku kwamba ni jambo muhimu.
SHARE









No comments:
Post a Comment