TRA

TRA

Sunday, June 11, 2017

Waziri Mhagama akabidhi tuzo Vodacom

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu) Jenista Mhagama akimkabidhi tuzo na cheti Meneja wa Vodacom Tanzania PLC Kanda ya Kati Manyoni, Elly Mwambene baada ya Kampuni hiyo kushika nafasi ya pili katika makampuni binafsi yanayojishughulisha sana kwenye jamii na kutoa fursa ya ajira kwa vijana na kuwa na technologia kubwa. Tuzo hiyo ilitolewa na Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) katika Kongamano la Pili la Baraza hilo mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger