Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.
Dkt Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasili katika viwanja vya Bunge Mjini
Dodoma kwa ajili ya kuwasilisha Bungeni Hali ya Uchumi wa Taifa katika
mwaka 2016.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.
Dkt Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha Bungeni Hali ya Uchumi wa
Taifa katika mwaka 2016, Mjini Dodoma, ambapo katika mwaka huo, pato la
Taifa lilikua kwa asilimia 7.0, likichangiwa na kukua kwa sekta ya
ufuaji umeme, kuimarika kwa huduma za usafirishaji na uhifadhi wa
mizigo, sekta ya habari na mawasiliano, ujenzi na uchimbaji wa madini na
mawe.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha na Mipango)
SHARE
No comments:
Post a Comment