
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,
IGP Simon Sirro akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa cha
Rwanda, Kamishina wa Polisi wa Rwanda Felix Namhoranye ofisini kwake
makao makuu ya Jeshi la Polisi. Kamishina Namhoranye ni kiongozi wa
msafara wa maafisa mbalimbali kutoka chuo cha ulinzi cha Taifa cha
Rwanda ambao wapo nchini kwa ziara ya mafunzo. Picha na Hassan Mndeme –
Jeshi la Polisi.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,
IGP Simon Sirro akizungumza na maofisa wa polisi kutoka nchi mbalimbali
za Afrika mashariki na Afrika magharibi ambapo wanasoma chuo cha ulinzi
cha Taifa cha Rwanda hawapo picha. Kushoto ni mkuu wa chuo cha ulinzi
cha Taifa cha Rwanda, Kamishina Felix Namhoranye na kulia ni
Kamishina wa Polisi Jamii , Mussa Alli Mussa – picha na Hassan Mndeme –
Jeshi la Polisi.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,
IGP Simon Sirro akiwa katika picha ya pamoja na maafisa wa Polisi
kutoka nchi mbalimbali wanaosoma chuo cha ulinzi wa taifa cha Rwanda.
Ujumbe huo unaohusisha maofisa wa Polisi kutoka nchi za Afarika
mashariki na Afrika magharibi unaongozwa na Kamishina wa Polisi wa
Rwanda Felix Namhoranye ambaye ndiye mkuu wa chuo cha ulinzi cha ulinzi
cha Rwanda wapo nchini Tanzania kwa ziara ya kijifunza namna taasisi
mbalimbali zinavyoendeshwa hapa Tanzania. Picha Hassan Mndeme – Jeshi
la Polisi.

SHARE
No comments:
Post a Comment