Waziri
wa Biashara, Viwanda na Masoko wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (MB), Balozi Amina Salum Ali akifurahia zawadi ya begi lililotengenezwa
kwa bidhaa za ngozi ya Tanzania.
Waziri
wa Biashara, Viwanda na Masoko wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (MB)
Mhe. Balozi Amina Salum Ali akifunga maonesho ya Kimataifa ya 41 ya
Biashara ya Dar es Salaam leo Katika Viwanja vya JK Nyerere ,Barabara ya
Kilwa Jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji (Biashara na uwekezaji)
Prof. Adolf Mkenda akiongea wakati wa hafla yakufunga maonesho ya
Kimataifa ya 41 ya Biashara ya Dar es Salaam Leo Katika Viwanja vya JK
Nyerere ,Barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania
(TANTRADE) Bw. Edwin Rutageruka akitoa maelezo mafupi kuhusu maonesho ya
Kimataifa ya 41 ya Biashara ya Dar es Salaam.
.Kikundi
cha kwaya ya TOT kikitumbuiza wakati wa hafla ya kufunga maonesho ya
Kimataifa ya 41 ya Biashara ya Dar es Salaam Leo Katika Viwanja vya JK
Nyerere ,Barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.
Mtaalamu
wa ushonaji mavazi Bw. Abdalah Nyangalio ambaye ni mlemavu wa macho
akifurahia hafla ya kufunga maonesho ya Kimataifa ya 41 ya Biashara ya
Dar es Salaam Leo Katika Viwanja vya JK Nyerere ,Barabara ya Kilwa
Jijini Dar es Salaam
Baadhi
ya washiriki wa hafla ya ufungaji wa maonesho ya Kimataifa ya 41 ya
Biashara ya Dar es Salaam wakimsikiliza mgeni rasmi (hayupo pichani).
SHARE
No comments:
Post a Comment