Meneja
wa benki ya NMB kanda ya Dar es Salaam ,Vicky Bishibo akizungumza na
walimu wakati wa mkutano wa siku ya walimu katika mkoa wa Dar es Salaam
na benki hiyo uliofanyika mapema leo Sinza,jijini Dar.
Mkurugenzi
Mkuu wa wateja wadogo wadogo na wakati wa NMB, Abdulmajid Nsekela
akizungumza na walimu juu ya huduma mpya za NMB ambazo zinaweza
kuwasaidia katika kujiongeza kipato na kulea familia kwa uraisi.
Sehemu ya walimu walioshiriki mkutano huo ambao uliweza kuwakutanisha walimu kutoka Wilaya zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam.
Meneja
wa NMB kanda ya Dar es Salaam ,Vicky Bishibo akizungumza na walimu
wakati wa mkutano wa siku ya walimu katika mkoa wa Dar es Salaam na
benki hiyo uliofanyika Sinza
Afisa
Elimu na Vifaa Takwimu wa Wilaya ya Ubungo , Brayson Ephata akitoa
neno la Shukrani kwa mgeni rasmi mara baada ya kufungua mkutano wa NMB
na siku ya Walimu mkoa wa Dar es Salaam
Picha ya Meza kuu wakiwa wamesimama
Sehemu ya walimu walioshiriki mkutano huo ambao uliweza kuwakutanisha kutoka Wilaya zote tatu za mkoa wa Dar es Salaam
Kaimu
Katibu Mkuu wa Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), Prof Eleuther Mwageni
akiondoka katika mkutano huo mara baada ya kufungua jijini Dar es Salaam
leo
SHARE
No comments:
Post a Comment