Umewahi kujiuliza viongozi wa mataifa yenye ushawishi duniani hulipwa mshahara kiasi gani?
Huu hapa ni muhtasari:
Donald Trump Dola 400,000 (pauni 309,720), ingawa alisema atakuwa akipokea dola moja pekeeKansela wa Ujerumani Angela Merkel $273553 (£212,387)
Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau $264,491 (£205,351)
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron $202950 (£157571)
Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May $193,699 (£150,402)
Rais wa Urusi Putin $146926 (£114,074)
Waziri Mkuu wa Singapore Lee Hsien Long $1.58m (£1.23m)
- Utajiri wa Trump washuka, Bill Gates aongoza
- CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment