Mshambuliaji wa
Borussia Dortmund Pierre-Emerick Aubameyang hatouzwa katika majira
haya ya kiangazi na atasalia katika timu yake.
"Tumeshaamua kwamba Auba atabaki hapa kuendelea kuitumikia timu hii." Alieleza Mkurugenzi huyo.
Aubameyang msimu uliopita aliifungia timu yake jumla ya mabao 31 na kuisaidia kutwaaa taji la kombe la Ujeruman, na kumaliza katika nafasi ya tatu katika ligi ya Bundasliga.
SHARE
No comments:
Post a Comment