Kombe la taifa
bingwa barani Afrika huenda likahamishwa hadi msimu wa joto kama sehemu
ya mazungumzo yaa shirikisho la kandanda barani Afrika.
Pia idadi ya timu zinashoriki huenda ikaongezwa kutoka 16 hadi 24.
Wachezaji wengine walikataa ombia la kuwataka kujiunga nchi zao kushirikia mashindani ya mwaka huu, yaliyoandaliwa nchini Gabon na kuamua kubaki na vilabu vyao.
Hao ni pamoja na wachezaji kadha kutoka Cameroon ambao walitaka kujiunga na timu ambayo hata hivyo ilishinda kombe hilo.
Kila baada ya miaka miwoli mzo huibuka kati ya vilabu vya Ulaya na nchi, vinavyodai kuwapoteza wachezaji wakati wanahitaji sana.
Kwa mujibu wa vilabu hivyo mara nyingi wachezaji hurudi vilabuni wakati wamechoka baada ya kuishiriki mechi za taifa bingwa barani Afrika.
SHARE
No comments:
Post a Comment