TRA

TRA

Tuesday, July 18, 2017

CONTE AONGEZA MIAKA MIWILI CHELSEA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !




Meneja wa klabu ya Chelsea, Antonio Conte amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuwanoa mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya England.

Conte katika msimu wake wa kwanza ameisadia Chelsea kutwaa ubingwa wa England kwa kushinda michezo 30,na kucheza fainali ya michuano ya kombe la Fa licha ya kufungwa na Arsenal katika fainali.

Baada ya kusaini mkataba huo mpya Conte alisema " nina furaha sana kwa kusaini mkataba huu mpya," 

Mkurugenzi wa klabu hiyo, Marina Granovskaia, aliongeza kwa kusema "mafanikio makubwa waliyopata, pamoja na uhodari wa kocha huyo ndio kimewapa imani ya kumuongezea Conte mkataba mpya".

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger