Mbunge wa Jimbo la Kawe Halima mdee,
akiwa amehifadhiwa katika ukumbi wa Wazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu akisubiri kusomewa kesi yake.
Mbunge wa Jimbo la Kawe Halima mdee akisalimiana na Mbunge wa Bunda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) , Ester Bulaya, akiwa amehifadhiwa katika ukumbi wa Wazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akisubiri kusomewa kesi yake.

SHARE
No comments:
Post a Comment