Chelsea ilifanikiwa
kulipiza kisasi na kujizolea sifa kufuatia kushindwa kwao katika kombe
la FA miezi miwili iliopita baada ya Michy Batschuayi kuwasaidia vijana
wa Antonio Conte kuicharaza Arsenal 3-0.
Batshuayi baadaye alifunga bao jingine baada ya kipindi cha kwanza na kufanya mambo kuwa 3-0, matokeo ambayo yataipatia motisha kmubwa Chelsea wakati ambapo wanatarajiwa kuchuana na Bayern Munich na Inter Milan ya Italia.
Arsene Wenger hatahivyo atakuwa na wasiwasi mkubwa baada ya Chelsea kuishinda Arsenal kwa urahisi mkubwa.
Ilikuwa chini ya miezi miwili wakati Arsenal iliishinda Chelsea 2-1 katika fainali ya kombe la FA uwanjani Wembley katika mechi ambayo Arsenal ilionyesha mchezo wa hali ya juu.
SHARE
No comments:
Post a Comment