Msanii
wa Filamu nchini Issa Mussa maarufu kama Clod 112 (kulia) akifafanua
jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitambulisha
filamu yake mpya ijulikanayo kama “Tusijisahau,” katikati ni
Mtayarishaji wa filamu hiyo Bi. Amina Musa na kushoto ni Mwakilishi toka
Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Esther Ibrahim.
Mtayarishaji
wa filamu ya “ Tusijisahau” Bi. Amina Musa (kushoto) akifafanua jambo
kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wakitambulisha filamu
hiyo mapema hii leo jijini dare s Salaam, katikati ni Muigizaji wa
filamu hiyo Bw. Issa Mussa maarufu kama Clod 112 na kulia ni Mhasibu wa
kampuni ya AMUS Entertainment Bw. Abdul Vencha.
Picha na Eliphace Marwa - Maelezo
SHARE
No comments:
Post a Comment