Msanii
Hamorapa ameungana na Mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, kushiriki katika ibada ya kumuaga mke wa Dk Harrison Mwakyembe, Linah
Mwakyembe. Pamoja
na Mkapa, viongozi kadhaa wa Serikali akiwamo Jaji Kiongozi, Katibu
Mkuu Kiongozi, mawaziri, wake wa viongozi wastaafu, wake wa mawaziri,
wanasiasa na wasanii wameshiriki ibada iliyofanyika katika kanisa la KKT
Kunduchi jijini Dar es salaam ikiwa ni maandalizi ya kuusafirisha mwili
huo kuelekea mkoani Mbeya kwaajili ya mazishi.
SHARE
No comments:
Post a Comment