Mwanamke
amepatikana na hatia ya kumuua kwa kuimpiga risasi mumewe mara tano
katika jimbo la Michigan kwenye kisa ambacho kilishuhudiwa na kasuku.
Kasuku huyo anayejulikana kama Bud, baadaye alirejelea maneno "usipige risasi" kwa sauti ya muathiriwa, kwa mujibu wa mke wa zamani wa Duram.
Hata hivyo kasuku huyo hakutumiwa wakati wa kesi mahakamani.
Jaji alimpata Bi Duram 49, na makosa wa mauaji na atahukiwa mwezi ujao.
Alipata majeraha ya kichwa wakati wa kisa hicho kilichotokea nyumbani kwao mwezi Mei mwaka 2015.
Mke wa zamani wa Duram Christina Keller, ambaye sasa anamiliki Kasuku Bud, mapema alisema anaamini chiriku huyo alikuwa akirejelea mazungumzo ya kutoka usiku wa mauaji ambayo anasema yaliishia kwa kusema "usipige risasi"
CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment