TRA

TRA

Tuesday, July 25, 2017

KENYA WATUMIA JINA LA RAIS DK. MAGUFULI KUSAKA KURA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

 

Wakati kuna baadhi ya Watanzania wachache ambao wanabeza umahiri wa Rais Dk. John Magufuli katika kulitumikia Taifa kwa uwezo wake wote kuhakikisha inakuwa nchi ya mfano hasa kiuchumi na maadili, Katika nchi za nje juhudi hizo wanaziona na kuzitamani zitokee katika nchi zao. Pichani mmoja wa wanasiasa akiwa amevaa shati lenye jina la Rais Magufuli kama moja ya njia ya kujinadi kwa wapigakura ili kuungwa mkono kwa kufananishwa na Rais Dk Magufuli

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger