Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akisaini kitabu cha maombolezo,alipo hudhuria msibani kwa aliyekua Mke
wa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe,
Linah Mwakyembe, aliyefariki katika Hospitali ya Agakhan alfajiri
Julai 16, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu Kassim Mary
Majaliwa, akisaini kitabu cha maombolezo,alipo hudhuria msibani kwa
aliyekua Mke wa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dr.
Harrison Mwakyembe, Linah Mwakyembe, aliyefariki katika Hospitali ya
Agakhan alfajiri Julai 16, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa,akizungumza na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo
Dr. Harrison Mwakyembe, alipo hudhuria msibani kwa aliyekua Mke wa Dr.
Harrison Mwakyembe, Linah Mwakyembe, aliyefariki katika Hospitali ya
Agakhan leo alfajiri Julai 16, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akimkabidhi mchango wa rambirambi Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na
Michezo Dr. Harrison Mwakyembe,alipo hudhuria msibani kwa aliyekua Mke
wa Dr. Harrison Mwakyembe, Linah Mwakyembe, aliyefariki katika Hospitali
ya Agakhan alfajiri. Julai 16, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
SHARE
No comments:
Post a Comment