Kiongozi wa Msafara Makamishina
wa Tume ya Utumishi wa Bunge la Uganda Mhe Cecilia Ogwal (wa kwanza
kushoto) akizungumza wakati wa kikao baina ya Makamishina wa Tume ya
Utumishi wa Bunge la Uganda na Makamishina wa Tume ya Utumishi wa Bunge
la Tanzania mapema leo Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.(Picha
na Ofisi ya Bunge)
Kiongozi wa Msafara Makamishina
wa Tume ya Utumishi wa Bunge la Uganda Mhe Cecilia Ogwal (wa kwanza
kushoto) akizungumza wakati wa kikao baina ya Makamishina wa Tume ya
Utumishi wa Bunge la Uganda na Makamishina wa Tume ya Utumishi wa Bunge
la Tanzania mapema leo Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.
Mbunge
wa Ilala ambaye pia ni Kamishina wa Tume ya Utumishi wa Bunge, Mussa
Azzan Zungu akiongoza kikao baina ya Makamishina wa Tume ya Utumishi
wa Bunge la Uganda na Makamishina wa Tume ya Utumishi wa Bunge la
Tanzania mapema leo Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam. Kikao
baina ya Makamishina hao ambacho lengo kubwa lilikuwa ni kubadilishana
uzoefu wa utedaji kazi kiliongozwa na Mhe Zungu kwa niaba ya Spika wa
Bunge Mhe Job Ndugai ambaye ndiye Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa
Bunge la Tanzania. Makamishina hao wa Bunge la Uganda wapo nchini kwa
ziara ya Kibunge ya siku mbili.
Katibu wa Bunge mbaye pia ni
Katibu wa Tume ya Utumishi wa Bunge la Tanzania, Dk. Thomas Kashililah
akizungumza wakati wa kikao baina ya Makamishina wa Tume ya Utumishi wa
Bunge la Uganda na Makamishina wa Tume ya Utumishi wa Bunge la
Tanzania mapema leo Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.
Makamishina wa Tume ya Utumishi
wa Bunge la Uganda na Makamishina wa Tume ya Utumishi wa Bunge la
Tanzania (waliokaa) na baadhi ya Watumishi wa pande zote mbili katika
picha ya pamoja mara baada ya kikao
SHARE
No comments:
Post a Comment