Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Rais wa
Mstaafu wa Ireland, Mary Robinson ambaye pia ni Mjumbe wa Taasisi
inayoshughulika na Amani,Haki za Binadamu na Huduma za Afya, Rais huyo
Mstaafu aliongozana na Mjumbe mwingine wa Taasisi hiyo Bi. Graca Machel .
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mjumbe wa
Taasisi inayoshughulika na Amani,Haki za Binadamu na Huduma za Afya, Bi.
Graca Machel ambaye aliongozana na Rais wa Mstaafu wa Ireland, Mary
Robinson kumtembelea Makamu wa Rais ofisini kwake Ikulu jijini Dar es
Salaam . (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya
pamoja na Rais wa Mstaafu wa Ireland, Mary Robinson (kulia) ambaye pia
ni Mjumbe wa Taasisi inayoshughulika na Amani,Haki za Binadamu na Huduma
za Afya, kushoto ni Mjumbe wa Taasisi hiyo Bi. Graca Machel mara baada
ya kumaliza mazungumzo kwenye ofisi za Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar
es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

SHARE
No comments:
Post a Comment