Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amemwakilisha Rais wa
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli katika mkutano
wa AU kwenye Makao makuu ya Umoja huo Ethiopia.Mkutano umefunguliwa
hii Leo Jijini Addis Ababa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ambaye amemwakilisha Rais wa Jamhuri
ya Muungano ya Tanzania Dk. John Magufuli katika mkutano wa AU
katika Makao makuu ya Umoja huo nchini Ethiopia.Mkutano umefunguliwa hii
Leo Jijini Addis Ababa.
SHARE
No comments:
Post a Comment