Balozi wa Kiswahili Afrika Mama
Salma Kikwete akiongea wakati wa uzinduzi wa Kamusi Rasmi ya Kiswahili
nchini Kenya katika Jengo la Kenya Institute of Curriculum Development,
Nairobi, Kenya ambapo ameahidi kuitumia kwamanufaa ya Tanzania, Kenya,
East Afrika, Afrika na Duniani kwa Ujumla.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiongea wakati
wa uzinduzi wa Kamusi Rasmi ya Kiswahili nchini Kenya katika Jengo la
Kenya Institute of Curriculum Development, Nairobi, Kenya.
Balozi wa Kiswahili Afrika Mama
Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania, Kenya,
Dkt. Pindi Chana (wa kwanza kushoto), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Avemaria Semakafu (wa pili kushoto) na
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof.
Elisante Ole Gabriel (kulia) wakati wa uzinduzi wa Kamusi Rasmi ya
Kiswahili leo nchini Kenya.
SHARE
No comments:
Post a Comment