TRA

TRA

Wednesday, July 19, 2017

Mbunge anayemkosoa Zuma kulindwa na Polisi Afrika Kusini

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !



 MAKHOSI KHOZA

Mkosoaji mashuhuri wa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, atapewa ulinzi wa polisi baada ya kupokea vitisho vya kuuliwa.

Bunge na polisi walifanya uchunguzi na kubaini kuwa kuna vitisho vya kuuliwa dhidi ya Makhosi Khoza ambaye ni mbunge wa chama cha ANC.
Bi Khoza amemtaka Bwana Zuma aondoke madarakani akimtaja kuwa kiongozi wa kuchukiza ambaye amekumbwa na madai ya ufisadi.

Zuma anakana kufanya lolote baya na hakuna madai kuwa amehusishwa na vitisho hivyo.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger