Moja
ya stori ambazo zinasambaa sana kwenye mitandao mbalimbali ni kuhusu
mwimbaji Nandy kudaiwa kuwa mapenzini na Billnass lakini mwimbaji huyo
ameendelea kukanusha akisema ni watu tu wanawaona hivyo.
Nandy amesema hawako mapenzini na Billnass bali yupo kwenye mahusiano na mu mwingine ambaye hawezi kumuweka hadharani.
”Nikitoka hapa nahisi huko nakoenda
naenda kuachwa kwa sababu nina mahusiano yangu sitoki na Billinass. Kwa
kweli mmeyavunja mahusiano yangu. Tuwe Serious kwenye hili maana
nisingependa mashabiki wangu waone hivyo. Sitoki na Billinass hatuna
mahusiano.
“Mashabiki
wanavyoona wanaongea, hatuna hata ukaribu. Haiwezi kutokea, itakuwa ni
ngumu kwa sababu mimi nina uhusiano, nina mpenzi wangu yupo japo siwezi
kumuweka Public. – Nandy.
SHARE
No comments:
Post a Comment