TRA

TRA

Thursday, July 20, 2017

RAIA MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA BURUNDI PIERRE NKURUNZINZA WILAYANI NGARA MKOANI KAGERA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

Rais  wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Lemela mjini Ngara Mkoani Kagera Julai 20,2017

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake Rais wa Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza mara baada ya Kumpokea katika Uwanja vya Lemela mjini Ngara Mkoani Kagera Julai 20,2017

 Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake Rais wa Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza, wakipiga picha rasmi baada ya kumpokea.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na ujumbe wake katika mazungumzo maalum ya kiserikali na Rais wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza  na ujumbe wake Mjini Ngara Mkoani Kagera Julai 20,2017

Rais  wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia mamia ya wananchi wa Mji wa Ngara  kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Posta Mjini Ngara Mkoani Kagera  20 Julai 2017

Rais wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza Akihutubia  wananchi wa Mji wa Ngara  kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Posta Mjini Ngara Mkoani Kagera  20 julai 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza wakiwapungia wananchi wa Mji wa Ngara  kwenye uwanja wa Lemela mjini Ngara Mkoani Kagera Julai 20,2017

Rais  wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza wakiwa wamesimama wakipokea salama za heshima kutoka kwa majeshi ya ulinzi na usalama

 Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mgeni wake Rais wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza wakiwapungia mikono wananchimwa mji wa ngara wakati wakiwasili katika uwanja wa posta mjini Ngara kwa ajili ya mkutano wa hadhara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza pamoja na mama Janeth Magufuli katika Maongezi

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mgeni wake Rais wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza wakiwapungia mikono wananchimwa mji wa ngara wakati wakiwasili katika uwanja wa posta mjini Ngara kwa ajili ya mkutano wa hadhara

Umati wa ananchi wa mji wa Ngara waliohudhulia  katika uwanja wa posta mjini Ngara kusikiliza Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa posta mjini Ngara julai 20,2017

Rais wa Jamuhuri ya Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza akiwasalimia wananchi wa Mji wa Ngara  kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Posta Mjini Ngara  20 Julai 2017

Rais wa Burundi Mhe. Pierre Nkurunziza akikagua graride la lililoandaliwa na jeshi la ulinzi la Tanzania JWTZ katika viwanja vya Lemela mjini Ngara Mkoani Kagera Julai 20,2017

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger