Mkurugenzi wa Huduma za
Kimenejimenti wa Ofisi ya Msajili wa Hazina Bw. Mihale Mwakabinga
akiwasilisha mada kuhusu majukumu ya Msajili wa Hazina, Bodi na Wizara
Mama katika usimamzi wa Mashirika na Taasisi za Umma katika kikao kazi
kikao kazi cha uhamasishaji wa sheria mbalimbali za Ofisi ya Msajili wa
Hazina, wajibu na majukumu kilichowakutanisha na Wenyeviti wa Bodi za
Wakurugenzi,Watendaji Wakuu wa Mashirika na Taasisi za Umma pamoja na
Makatibu Wakuu wa Wizara leo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Umma
kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina akielezea jambo wakati akiwasilisha
mada kuhusu maana ya Mashirika ya Umma katika kikao kazi kikao kazi cha
uhamasishaji wa sheria mbalimbali za Ofisi ya Msajili wa Hazina, wajibu
na majukumu kilichowakutanisha Wenyeviti wa Bodi za Wakurugenzi,
Watendaji Wakuu wa Mashirika na Taasisi za Umma pamoja na Makatibu Wakuu
wa Wizara leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Msajili wa Hazina
Dkt. Oswaid J. Mashindano na Mkurugenzi wa Huduma za Kimenejimenti wa
Ofisi ya Msajili wa Hazina Bw. Mihale Mwakabinga.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Samwel Mwita Nyantahe akichangia
hoja wakati wa kikao kazi baina ya Ofisi ya Msajili wa Hazina na
Wenyeviti wa Bodi za Wakurugenzi, Watendaji Wakuu wa Mashirika na
Taasisi za Umma pamoja na Makatibu Wakuu wa Wizara leo Jijini Dar es
Salaam. Kikao hicho kimefanyika kwa lengo la kuhamasisha sheria
mbalimbali za Ofisi ya Msajili wa Hazina, wajibu na majukumu yao.
Mkuu wa Chuo cha Taifa cha
Usafirishaji (NIT) akichangia mada wakati wa kikao kazi baina ya Ofisi
ya Msajili wa Hazina na Wenyeviti wa Bodi za Wakurugenzi, Watendaji
Wakuu wa Mashirika na Taasisi za Umma pamoja na Makatibu Wakuu wa Wizara
leo Jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kimefanyika kwa lengo la
kuhamasisha sheria mbalimbali za Ofisi ya Msajili wa Hazina, wajibu na
majukumu yao.
Baadhi ya washiriki wa kikao kazi
cha uhamasishaji wa sheria mbalimbali za Ofisi ya Msajili wa Hazina,
wajibu na majukumu ya Wenyeviti wa Bodi za Wakurugenzi, Watendaji Wakuu
wa Taasisi na Mashirika ya Umma pamoja na Makatibu Wakuu wa Wizara leo
Jijini Dar es Salaam.
Msajili wa Hazina Dkt. Oswald J.
Mashindano akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wenyeviti wa Bodi
za Wakurugenzi wa Taasisi na Mashirika ya Umma mara baada ya kumaliza
kikao kazi cha uhamasishaji wa sheria mbalimbali za Ofisi ya Msajili wa
Hazina, wajibu na majukumu yao leo Jijini Dar es Salaam. Kikao hicho
kimewakutanisha Wenyeviti wa Bodi za Wakurugenzi, Watendaji Wakuu wa
Taasisi na Mashirika ya Umma pamoja na Makatibu Wakuu wa Wizara.
Msajili wa Hazina Dkt. Oswaid J.
Mashindano akifafanua jambo katika kikao kazi cha uhamasishaji wa sheria
mbalimbali za Ofisi ya Msajili wa Hazina, wajibu na majukumu mbele ya
Wenyeviti wa Bodi, Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma
pamoja na Makatibu Wakuu wa Wizara leo Jijini Dar es Salaam.Kutoka
kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma za Kimenejimenti kutoka Ofisi ya Msajili
wa Hazina Bw. Mihale Mwakabinga na Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Umma wa
OMH, Bw. Maftah Bunini.
Picha na: Frank Shija – MAELEZO
SHARE
No comments:
Post a Comment