Ikiwa
imepita miezi miwili tangu boss wa WCB, Diamond Platnumz aweke wazi
kuwa Rayvanny anatarajia kufungua studio hatimaye imekamilika.
Kama
ilivyokwisha tangazwa kuwa prodyuza Rash Don ndiye atahusika katika
kusuka beat ndani ya studio hiyo, hadi sasa wasanii kama Dogo Janja na
Madee wameonekana wakijiachia ndani ya studio hiyo, pengine kuna kazi
inakuja. Tazama picha zaidi.
SHARE
No comments:
Post a Comment