Maafisa kutoka
Hifadhi ya Taifa ya Garamba nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
wamesema kuwa Tembo 45 wameuawa tangu mwanzo wa mwaka huu.
Ripoti zinasema Ndovu hao huuawa na makundi ya waasi nchini DRC, wapiganaji wa kundi la waasi wa LRA kutoka Uganda, na waasi wa Sudan Kusini.
SHARE









No comments:
Post a Comment