Siku 20 baada ya Diamond Platnumz
kuachia video zake mbili mpya ya ‘Fire’ aliyomshirikisha muimbaji wa
Nigeria Tiwa Savage na ‘I Miss You’, Julai 10 2017 ameamua kuachia video
nyingine mpya ya wimbo wake mpya wa ‘Eneka ambao aliuachia kwa
kushitukiza.
SHARE
No comments:
Post a Comment