Rais
Mtaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete (kulia) akimfariji Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe wakati alipofika kumpa pole
kwa msiba wa mke wa Waziri huyo mapema jana nyumbani kwake Kunduchi jijini
Dar es Salaam.
Spika
mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Anne Makinda (kulia) akiwafariji baadhi ya wafiwa wakati
alipofika kumpa pole Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.
Harrison Mwakyembe kwa msiba wa mke wake mapema jana nyumbani kwake Kunduchi
jijini Dar es Salaam.
Rais
Mtaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete (katikati) akiagana na Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe mara baada ya kumpa pole
kwa msiba wa Mke wa Waziri huyo nyumbani kwake Kunduchi jijini
Dar es Salaam.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar e s Salaam Paul Makonda (kushoto) akiteta jambo na Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe wakati wa msiba wa
mke wa Waziri huyo mapema nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi (kulia) akiteta jambo
na Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda wakati walipofika kumpa pole Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kwa msiba wa Mke
wake mapema nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Msanii
wa muziki wa Kizazi kipya Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz (kulia)
akimpa mkono wa pole Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kwa msiba wa Mke wake
mapema nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Aliyekuwa
Waziri wa Mambo ya Nje Benard Membe (kulia) akimpa pole Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kwa msiba wa Mke wake
mapema hii leo nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Aliyekuwa
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyarandu (kulia) akimpa pole Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kwa msiba wa Mke
wake mapema nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (wa pili kulia) akiteta jambo na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango wakati walipoenda kumpa pole Waziri Mwakyembe kwa msiba wa Mke wake mapema nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam, kulia ni aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyarandu na kushoto ni aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Benard Membe
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akiteta
jambo na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango wakati alipoenda kumpa
pole Waziri Mwakyembe kwa msiba wa Mke wake mapema nyumbani kwake
Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Mbunge
wa Bagamoyo Dkt. Shukuru Kawambwa akimpa pole Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kwa msiba wa Mke wake mapema nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia
Mhandisi Stella Manyanya akimpa pole Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kwa msiba wa Mke wake mapema nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Picha
na Eliphace Marwa - Maelezo
SHARE



















No comments:
Post a Comment