Ofisa
Uhusiano wa masuala ya kiserikali wa Vodacom Tanzania PLC, Glory Mtui
akimfafanulia mteja aliyetembelea banda la kampuni hiyo sanjari na mkutano wa wadau
wa kampuni za simu za mikononi wa 360 Africa (GSMA) unaoendelea ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Dar es Salaam na udhaminiwa na Vodacom Tanzania PLC. (Na Mpigapicha Wetu)
Meneja
wa Duka la Kariakoo la Vodacom Tanzania PLC, Martin Kabahise
akimfafanulia mteja aliyetembelea banda la Kampuni hiyo sanjari na
Mkutano wa wadau wa
simu za mikononi wa 360 Africa(GSMA) unaoendelea kwenye ukumbi wa
Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Dar es Salaam jana. (Na Mpigapicha
Wetu)
SHARE
No comments:
Post a Comment