Mkurugenzi wa Mifumo ya Tehama kwenye mradi wa PS3 Desderia Wengaa akitoa maelezo ya Utangulizi wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Planrep na FFARS.
Baadhi ya washiriki kutoka Mikoa mitano ya Tanga, Tabora, Manyara, Singida na Dodoma wakati wa mafunzo ya Planrep na FFARS.
Erick Kitali Mkurugenzi wa TEHAMA, OR-TAMISEMI akielezea kwa ufupi mifumo iliyoboreshwa ya Planrep na FFARS wakati wa mafunzo yanaendelea Mkoani Dodoma
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dododma Rehema Madenge akifungua mafunzo ya siku nane kwa wataalamu wa Afya, Mipango na Fedha kutoka Mikoa Mitano chini ya ufadhili wa mradi wa Uimarishaji Mifumo (PS3)
Pichani ni Mgeni Rasmi ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Rehema Madenge (Katikati mbele) akiwa na wakufunzi wa mafunzo hayo.(Picha zote na Ofisi ya Rais TAMISEMI)
SHARE








No comments:
Post a Comment